Hivi umeshawahi kujiuliza ni jinsi gani utajilinda na kulilinda gari lako ulilonunua kwa thamani kubwa na kuhakikisha hupati hasara kwa kuibiwa gari lako au vifaa vyake vya ndani au vitu utakavyoweka kwenye gari lako ikiwamo radio,laptop , car tv, power window , au kupata tu hasara kwa matumizi mabaya ya gari ikiwa ni pamoja na kuendeshwa kwa mwendo kasi, kuibiwa mafuta na pia kushindwa kumiliki gari lako kwa uhuru. Basi tumekuletea uwezo huo na uhuru kwa gharama nafuu kabisa. Hakuna gharama ya mwisho wa mwezi wala malipo mengine yanayohitajika mara baada ya kuweka kifaa hicho
2. Kuzima gari lako either likiwa linawaka au kuzuia lisiwashwe basi unaweza andika code mfano (w000000,220,0) kwenda kwenye namba ya simu na hapo gari halitawaka mpaka utakapo tuma code ya kuruhusu kuwasha gari hilo
3. Pia kifaa kinakuja na panic button itakayowekwa sehemu iliyojiificha hii unaweza itumia pale unapohisi hauko salama na hakuna njia ya mawasiliano mengine inayoweza fanyika kwa kubonyeza button hiyo itatuma meseji kwa namba ya mtu iliyokuwa imewekwa kwa ajili hiyo
No comments:
Post a Comment